Vipi Nyota na Madebe? Mmenisahau? piga hapa basi. Mmefanya nini siku hizi? Kurekodi? Poa. Sikiza, kutakuwa na picha ya Nyota kali kwenye New Encyclopedia of Africa. Nitawajulisha ikitoka. Salimie Mombasa...
Vipi Mwanaisha, mziki wako na usanii ulionao ni makini kabisa. Nifahamishe kama ungependelea kushirikiana kusamabaza umaarufu wako huku Marekani na mataifa mengine ughaibuni.
Utanipata hapa: http://myspace.com/akiey5 na http://akiey.blogspot.com
Nakutakia kila la kheri na mafanikio bila kifani :)
Born in Mombasa,Kenya Nyota Ndogo has been collecting fans of her eclectic East African sound for over 4 years now.She has 3 cd's released under her name CHEREKO,NATOKA MBALI NA WEWE,MPENZI.She has also featured on 3 international compelations WORLD 2003, THE ROUGH GUIDE TO KENYA and OFF THE BEATEN TRACK.She is also holder of two Kenya Kisima Music Awards:Best Taraab Singer 2003.Best Female Singer 2005
7 Comments:
Vipi Nyota na Madebe? Mmenisahau? piga hapa basi. Mmefanya nini siku hizi? Kurekodi? Poa. Sikiza, kutakuwa na picha ya Nyota kali kwenye New Encyclopedia of Africa. Nitawajulisha ikitoka. Salimie Mombasa...
Nyota, mbona hakuna sehemu yoyote tunaweza kukutumia ujumbe kwa e-mail?
Sista,your work is superb.Keep it up!
nyota u are a queen! god bless and pliz where can we get to view ur vids online?
nitumie cd original pls nimechoka na hizi fake. Nakupenda
This comment has been removed by the author.
Vipi Mwanaisha, mziki wako na usanii ulionao ni makini kabisa.
Nifahamishe kama ungependelea kushirikiana kusamabaza umaarufu wako huku Marekani na mataifa mengine ughaibuni.
Utanipata hapa:
http://myspace.com/akiey5 na
http://akiey.blogspot.com
Nakutakia kila la kheri na mafanikio bila kifani :)
Post a Comment
<< Home