CHEREKO-NYOTA NDOGO 1999
chereko chereko walia nini/ulicho kitaka umeshakipata sasatulia
walio kupatia mashauri sasa wameshakimbia,sasa umebaki hunalakufanya useme nini.kawaida mtu apandacho ndicho avunacho
chereko chereko walia nini/tabia uliokuanayo nadhani nilikukanya.ulionakamamimi nakuoneauwivu.hakunasiku ambayoilipita bilakusema lakini ilikukama napigiambuzi gitaaa wee.
chereko chereko walia nini/kutembea barabarani usiku nilikukanya.kutembea na marafiki wabaya nilikukataza. yalio kufika hakuna ambae anakujali.ulicho kipata mshukuru mungu ndio dawa yakee wee